Kijana wa kiume alijiua saa sita tu baada ya 'walaghai' kutishia kuchapisha picha zake za utupu kwenye mitandao. Jordan DeMay alifariki mwaka 2022 baada ya ndugu wawili Samuel na Samson Ogoshi, kutoka ...
Teknolojia imebadilisha kwa kiasi kikubwa mahusiano ya kijamii. Kwa vijana, mabadiliko haya yameleta hali ambapo uamsho wao wa kihisia na kingono huanzia kupitia jumbe za mitandaoni. Hali hii imezua ...