Katika kupambana na janga la ogezeko la ajali za barabarani, Zanzibar imeendelea kubuni mikakati, safari hii kwa mara ya ...
Kwa mujibu wa Sheria ya Usalama Barabarani, waendesha baiskeli wanatakiwa kupita kushoto wanapoendesha barabarani kama kanuni ...
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuwasilisha bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Usalama Barabarani ya Mwaka 1973, ambao pamoja na mambo mengine, utaweka sharti la kuvaa kofia ngumu ...
Kwa mujibu wa Latra, idadi ya vyombo hivyo vilivyopewa leseni nchini kwa mwaka wa fedha 2023/24, bodaboda zipo 46,146 na ...
Watu wengi wameelezea wasiwasi kuhusu usalama wa chakula katika majimbo hayo. Hata hivyo, baadhi ya video zinatajwa kama kampeni ya kuwalenga Waislamu na kuwalaumu. Baada ya uchunguzi wa kina wa ...
Dereva huyo alibambwa mwishoni mwa wiki iliyopita na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Ramadhani Ng’azi katika Kituo cha mabasi Tinde, mkoani Shinyanga, wakati wa ukaguzi wa mabasi yanayofanya ...
TIMU nane za waendesha pikipiki (bodaboda) zimeanza kupambana katika ligi maalum kwa ajili ya kuhamasisha masuala ya usalama barabarani na masuala ya afya ya uzazi huku mshindi wa mashindano hayo ...
Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Palestina UNRWA leo ametoa wito wa kufikiwa kwa makubaliano ya mara moja ya usitishaji uhasama kaskazini mwa Gaza katika chapisho lake ...
Washiriki pia wamejadili hatua za pamoja, pamoja na changamoto zinazohusiana na amani, usalama, maendeleo, haki za binadamu na athari za mabadiliko ya tabianchi katika bara la Afrika. Majadiliano pia ...
Kuondolewa madarakani kwa naibu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua na uteuzi wa profesa Kithure Kindiki, serikali ya Kinshasa yakaribisha makubaliano yaliyoafikiwa kati ya mawaziri wa mambo ya nje ...
IGP Camillus Wambura ameishukuru serikali kwa kuendelea kuliwezesha jeshi hilo kuwa la kisasa hivyo ni wajibu polisi kuhakikisha uhalifu unaendelea kupungua huku akiwaasa madereva wa magari hayo ...
Korea Kaskazini imeanza kutuma wanajeshi kupigana pamoja na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine, shirika la kijasusi la Korea Kusini limesema huku Seoul ikionya kuhusu "tishio kubwa la usalama".